Kuwaalika watu karamu ya ndoa msikitini

Swali: Mwenye kusema ´Atakayemuona fulani basi amwite` – je, ni katika kutangaza kilichopotea?

Jibu: Hapana, sio katika kutangaza kilichopotea. Akisema ´karibuni` au akamwambia fulani ´waambie wakaribie`, hapana vibaya.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23606/حكم-اخبار-الناس-بالمسجد-بالدعوة-الى-الطعام
  • Imechapishwa: 24/02/2024