Je, inajuzu kutupa uchafu ndani ya vikapu vya taka msikitini?

Swali: Wanaweka msikitini vikapu vya takataka ambapo wanatema makohozi na kutupa uchafu ndani yake?

Jibu: Haidhuru – Allaah akitaka. Tishu zinazowekwa hazidhuru – Allaah akitaka.

Swali: Ziko upande wa Qiblah?

Jibu: Haidhuru – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23605/هل-يجوز-التنخم-في-سلال-المهملات-بالمسجد
  • Imechapishwa: 24/02/2024