Swali: Je, inafaa kugawanya mirathi wakati mtu bado yuko hai?
Jibu: Ndio. Wakiridhia wote na akagawanya mali ya mirathi kwa watoto wake kwa mujibu wa hukumu ya Allaah hapana vibaya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
- Imechapishwa: 07/09/2023