Bora kati ya wenye kuzungumza kwenye simu ni yule anayeanza kutoa salamu

Swali: Naitikia simu kwa kusema:

السلام عليكم

“Amani ya Allaah iwe juu yenu.”

Mpigaji simu akamwambia asiseme hivo na badala yake aseme “Ndio” kwa sababu yeye ndiye ambaye anatakiwa kumtolea salamu.

Jibu: Mbora wa wawili hao ni yule ambaye anaanza kutoa salamu. Mbora wa wazungumzaji hao wawili ni yule ambaye anaanza kutoa salamu. Haijalishi ni nani.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22841/هل-خير-المتكلمين-بالهاتف-من-يبدا-بالسلام
  • Imechapishwa: 07/09/2023