Eda ya mwanamke ambaye amekufa mume wake nchi nyingine

Swali: Mwanamke alikuwa anaishi Marekani pamoja na mume wake na wasichana zake. Akarudi katika nchi yake kuwatembelea ndugu zake. Mume wake akafariki nchini mwake. Ni wapi anatakiwa kukaa eda; USA au nchini mwake?

Jibu: Analazimika kukaa eda katika nchi yake ambayo mume wake amekufa akiwa hapo na wala asisafiri kwenda kutumia muda huo katika nchi yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22843/اين-تكون-عدة-من-توفي-زوجها-في-بلد-اخر
  • Imechapishwa: 07/09/2023