Kufungua swawm pale inapozama diski ya jua

Swali: Mfungaji afungue kwa kuzama kwa jua?

Jibu: Ndio, inatosha ikizama diski ya jua. Vivyo hivyo ´Arafah ikizama ile diski ya jua basi watu wanaondoka. Ikizama diski ya jua upande wa magharibi kwenye macho ya watazamaji, basi umeingia wakati wa kufungua.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22799/صفة-غروب-الشمس-الذي-يفطر-به-الصاىم
  • Imechapishwa: 25/08/2023