Swali: Je, kusoma mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni halali au haramu?
Jibu: Kufanya mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ya mwingine ni miongoni mwa Bid´ah zilizozushwa. Imethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba amesema:
“Mwenye kuzusha katika dini yetu hii yasiyokuwemo atarudishiwa mwenyewe.”
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (27/03)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Je, kusoma mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni halali au haramu?
Jibu: Kufanya mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ya mwingine ni miongoni mwa Bid´ah zilizozushwa. Imethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba amesema:
“Mwenye kuzusha katika dini yetu hii yasiyokuwemo atarudishiwa mwenyewe.”
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (27/03)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/kufanya-maulidi-ni-halali-au-haramu/