Swali: Je, ni katika Sunnah au inajuzu kusoma al-Faatihah baada ya swalah ya faradhi sawa mtu kivyake au kwa pamoja?

Jibu: Kusoma al-Faatihah baada ya faradhi, sawa mtu kivyake au kwa pamoja, sio katika Sunnah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (02/384)
  • Imechapishwa: 23/08/2020