Swali: Ni ipi hukumu ya kununua na kuuza na Bilaad-ul-Harb?

Jibu: Mtawala akikataza kufanya biashara na nchi miongoni mwa nchi za kikafiri kwa sababu ni Bilaad-ul-Harb, basi ni wajibu kwa rai kuacha kufanya hivo. Vinginevyo asli biashara ni halali. Isipokuwa pale ambapo mtawala atakataza kufanya biashara na baadhi ya nchi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14221
  • Imechapishwa: 17/11/2014