Swali: Je, inajuzu kumpa Zakaah aliyeingia katika Uislamu miaka kumi iliyopita na huyu anaitwa “wenye kutiwa nguvu nyoyo zao [katika Uislamu]?

Jibu: Ikiwa Imani yake ni dhaifu na kunakhofiwa juu yake kuritadi, apewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14221
  • Imechapishwa: 17/11/2014