Kukariri Suurah moja katika Rak´ah mbili tofauti Kukariri Suurah moja katika Rak´ah mbili tofauti

Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kusoma Suurah moja katika Rak´ah mbili anaikariri?

Jibu: Hakuna neno kufanya hivo. Isipokuwa al-Faatihah haikaririwi katika Rak´ah moja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (03) Sharh Zaad-il-Ma´aad (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14131
  • Imechapishwa: 17/11/2014