Swali: Je, uharamu wa thamani ya damu kunaingia pia ile damu wanayohitaji hospitalini?

Jibu: Kunaingia pia, asiuze. Anatakiwa kujitolea damu pasi na kuiuza. Inatakiwa iwe kwa njia ya kusaidia. Hata hivyo mtu akilazimika kuinunua itafaa kwake kuinunua na bado itakuwa ni haramu kwa yule muuzaji.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24115/هل-يجوز-اخذ-مقابل-على-بذل-الدم-للمستشفى
  • Imechapishwa: 31/08/2024