Matibabu ya kurekebisha mpangilio wa meno ni sawa na kutia mwanya?

Swali: Je, kuingia katika haya matibabu ya kunyoosha meno?

Jibu: Hapana, matibabu ya kunyoosha meno hayaingii katika hili. Sio kutia mwanya. Kutia mwanya ni kule kujisugua na kujipamba.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24112/هل-يدخل-تركيب-الاسنان-في-التفليج
  • Imechapishwa: 31/08/2024