Malaika wasioingia nyumba yenye picha na mbwa

Swali: Nini maana ya maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Malaika hawaingii katika nyumba ilio na mbwa au picha”?

Jibu: Malaika wa kheri na rehema. Vinginevyo Malaika ni wenye kumwandama mja na hawamwachi. Malaika kusudiwa ni wale wasiomchunga mwanadamu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24116/معنى-عدم-دخول-الملاىكة-بيتا-به-كلب-او-صورة
  • Imechapishwa: 31/08/2024