Swali: Je, inafaa kuchukua viumbe vilivyo na roho kwa kutumia kamera ya video?
Jibu: Yote ni sawa. Kuchukua picha viumbe vyenye roho kwa kutumia njia yoyote ile, haijuzu, isipokuwa tu wakati wa dharurah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 10/06/2023