Tahadhari zaidi mtu asiswali maeneo palipoporwa

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali katika ardhi iliyoporwa?

Jibu: Kuna makinzano kati ya wanazuoni. Tahadhari zaidi ni yeye asiswali hapo, mosi kwa ajili ya kutoka nje ya tofauti, pili kwa ajili ya kuitakasa dhimma yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 10/06/2023