Masomo ya chuo kikuu yanagongana na darsa za wanazuoni

Swali: Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu na masomo yanagongana na kuhudhuria darsa za wanazuoni misikitini. Unaninasihi nini juu ya hilo? Nitangulize kipi?

Jibu: Atangulize masomo ya vyuo vikuu. Kwa sababu hilo litapelekea kupoteza wakati wake na cheti chake. Litapelekea katika madhara kadhaa. Akipata muda wa ziada, ndio aende katika darsa za wanazuoni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 10/06/2023