Swali: Ni ipi hukumu ya mtu anayechinja wanyama kwenye kaburi la maiti baada ya kuzikwa kwa nia ya swadaqah kwa roho yake?
Jibu: Hili ni maovu. Haijuzu. Zamani kabla ya kuja Uislamu walikuwa wakiliita “´Aqr”; walikuwa wakikaa karibu na kaburi lake na wakipita walichinja hapo kwa ajili yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna ´Aqr katika Uislamu.”
Vivyo hivyo wakichinja kwenye kaburi lake kwa kusudio la swadaqah, hili halijuzu. Hii ni Bid´ah. Ni maovu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3519/حكم-الذبح-عند-قبر-الميت-بعد-دفنه-صدقة-عليه
- Imechapishwa: 05/09/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya mtu anayechinja wanyama kwenye kaburi la maiti baada ya kuzikwa kwa nia ya swadaqah kwa roho yake?
Jibu: Hili ni maovu. Haijuzu. Zamani kabla ya kuja Uislamu walikuwa wakiliita “´Aqr”; walikuwa wakikaa karibu na kaburi lake na wakipita walichinja hapo kwa ajili yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna ´Aqr katika Uislamu.”
Vivyo hivyo wakichinja kwenye kaburi lake kwa kusudio la swadaqah, hili halijuzu. Hii ni Bid´ah. Ni maovu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3519/حكم-الذبح-عند-قبر-الميت-بعد-دفنه-صدقة-عليه
Imechapishwa: 05/09/2026
https://firqatunnajia.com/kuchinja-kwenye-kaburi-la-maiti-baada-ya-mazishi/