Swali: Kitabu “al-Huswun al-Maniy´ah” kilichokusanywa na Muhammad ´Alawiy al-Maalikiy…
Jibu: Hapana, kitabu “al-Huswun al-Maniy´ah” kina makosa. Kina baadhi ya Bid´ah. Vitabu vya huyu ´Alawiy vimeathiriwa na shari nyingi za Bid´ah na amepatwa na mambo mengi ya shirki. Tunaomba Allaah atupe afya njema. Anajulikana huko Makkah. Wanazuoni wamemwonya kuhusu makosa yake na upotovu wake, lakini aling’ang’ania batili yake. Tunamuomba Allaah amuongoze na amrudishe katika haki. Ana vitabu vyenye shari nyingi. Miongoni mwavyo ni “adh-Dhakhaa’ir al-Muhammadiyyah” ambacho kina shirki na Bid´ah kubwa. Kadhalika “al-Mafaahiym” ambacho kina makosa mengi.
Kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba mtu huyu haitegemewi. Muhammad bin ´Alawiy al-Maalikiy hategewi katika vitabu vyake, kwa sababu ana upotoshaji na ana upotovu katika ´Aqiydah. Tunaomba Allaah atuongoze sisi na yeye.
Hivyo haijuzu kutegemea vitabu vyake wala fatwa zake mpaka arudi katika haki na atangaze tawbah yake na arekebishe yale aliyoyaandika katika batili. Tunaomba Allaah atuongoze sisi na yeye.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3513/تقويم-كتاب-الحصون-المنيعة-لمحمد-علوي-المالكي
- Imechapishwa: 05/09/2026
Swali: Kitabu “al-Huswun al-Maniy´ah” kilichokusanywa na Muhammad ´Alawiy al-Maalikiy…
Jibu: Hapana, kitabu “al-Huswun al-Maniy´ah” kina makosa. Kina baadhi ya Bid´ah. Vitabu vya huyu ´Alawiy vimeathiriwa na shari nyingi za Bid´ah na amepatwa na mambo mengi ya shirki. Tunaomba Allaah atupe afya njema. Anajulikana huko Makkah. Wanazuoni wamemwonya kuhusu makosa yake na upotovu wake, lakini aling’ang’ania batili yake. Tunamuomba Allaah amuongoze na amrudishe katika haki. Ana vitabu vyenye shari nyingi. Miongoni mwavyo ni “adh-Dhakhaa’ir al-Muhammadiyyah” ambacho kina shirki na Bid´ah kubwa. Kadhalika “al-Mafaahiym” ambacho kina makosa mengi.
Kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba mtu huyu haitegemewi. Muhammad bin ´Alawiy al-Maalikiy hategewi katika vitabu vyake, kwa sababu ana upotoshaji na ana upotovu katika ´Aqiydah. Tunaomba Allaah atuongoze sisi na yeye.
Hivyo haijuzu kutegemea vitabu vyake wala fatwa zake mpaka arudi katika haki na atangaze tawbah yake na arekebishe yale aliyoyaandika katika batili. Tunaomba Allaah atuongoze sisi na yeye.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3513/تقويم-كتاب-الحصون-المنيعة-لمحمد-علوي-المالكي
Imechapishwa: 05/09/2026
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-muhammad-alawiy-al-maalikiy-na-vitabu-vyake/