Swali: Je, inafaa kwa Muhrim, katika hajj au ´umrah, kuchanganyika na mke wake na kumbusu? Ni kipi kinachompasa endapo atatokwa na manii?
Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivo. Akitokwa na manii, basi anatakiwa kutoa fidia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 03/06/2023