Swali: Mwanafunzi anayeanza anashauriwa kuanza kuhifadhi Qur-aan kisha baada ya hapo ndio aanze kujifunza elimu, au afanye yote mawili kwa pamoja?

Jibu: Ndio, atenge muda wa kuhifadhi na atenge muda mwingine wa kujifunza elimu. Akusanye mawili hayo. Allaah amempe nafasi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 03/06/2023