Swali: Je, inafaa kwangu kuvaa nguo inayofika kwenye kongo mbili za miguu na si chini yake?

Jibu: Ndio. Kilichokatazwa ni kile kilichoko chini ya macho mawili ya miguu. Kinachofika katika kongo mbili za miguu na juu yake ni kivazi kinachokubalika katika Shari´ah na mtu afuate kile kivazi cha watu wa nchi yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 03/06/2023