Kuashiria wakati wa kueleza baadhi ya sifa za Allaah

Swali: Je, inafaa kwa mtu wakati anapofafanua baadhi ya sifa za Allaah kuashiria kwa kidole?

Jibu: Kama alivyoashiria Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ni sawa ikiwa ni kwa ajili ya kubainisha na kuweka wazi na sio kwa ajili ya kufananisha na kushabihisha. Anafanya hivo kwa ajili ya kuweka wazi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23740/حكم-الاشارة-بالاصبع-في-شرح-صفات-الله
  • Imechapishwa: 18/04/2024