Kuanza kumtolea salamu asiyeswali

Swali: Je, mtu mwenye kuacha swalah anaweza kuwa kafiri? Arudishiwe salamu wakati atapotoa salamu?

Jibu: Akiendelea kuacha swalah ni kafiri bila ya shaka. Asitolewe salamu. Ikiwa katika kumsusa kutaleta manufaa, basi ni wajibu kumsusa.

Check Also

al-Fawzaan kuhusu uwalii wa mwanaume asiyeswali

Swali: Je, imeshurutishwa walii wa mwanamke atakayemuozesha awe amehifadhi swalah pamoja na mkusanyiko msikitini? Jibu: Ndio. …