Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kunyanyua mikono baada ya swalah ya ´iyd mbili, swalah ya kupatwa kwa jua au swalah ya kuomba mvua?
Jibu: Kunyanyua mikono katika du´aa ya kuomba kunyesha mvua, ndio. Ama kuhusu du´aa katika Khutbah ya ijumaa na swalah ya ´iyd mbili, mtu asinyanyue mikono. Hili halikuthibiti. Hili linakuwa wakati wa du´aa ya kuomba mvua.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa14340202.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kunyanyua mikono baada ya swalah ya ´iyd mbili, swalah ya kupatwa kwa jua au swalah ya kuomba mvua?
Jibu: Kunyanyua mikono katika du´aa ya kuomba kunyesha mvua, ndio. Ama kuhusu du´aa katika Khutbah ya ijumaa na swalah ya ´iyd mbili, mtu asinyanyue mikono. Hili halikuthibiti. Hili linakuwa wakati wa du´aa ya kuomba mvua.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa14340202.mp3
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/kunyanyua-mikono-baada-ya-swalah-ya-iyd-mbili/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)