Kufa kabla ya kutokea al-Masiyd ad-Dajjaal

Swali: Mwenye kufa kabla ya kujitokeza al-Masiyh ad-Dajjaal anakuwa amesalimika na fitina yake?

Jibu: Huyu amesalimika naye na himdi zote ni Zake Allaah.