Swali: Je, mtu mwenye kuacha swalah anaweza kuwa kafiri? Arudishiwe salamu wakati atapotoa salamu?
Jibu: Akiendelea kuacha swalah ni kafiri bila ya shaka. Asitolewe salamu. Ikiwa katika kumsusa kutaleta manufaa, basi ni wajibu kumsusa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mntq–20041434.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Je, mtu mwenye kuacha swalah anaweza kuwa kafiri? Arudishiwe salamu wakati atapotoa salamu?
Jibu: Akiendelea kuacha swalah ni kafiri bila ya shaka. Asitolewe salamu. Ikiwa katika kumsusa kutaleta manufaa, basi ni wajibu kumsusa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mntq–20041434.mp3
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/kuanza-kumtolea-salamu-asiyeswali/