Kuanza kumhudumia raisi wa baraza

Swali: Je, mwenyeji aanza kumhudumia mtumzima au aliye upande wa kulia?

Jibu: Ataanza na raisi wa baraza. Kisha raisi wa baraza ataanza na yule aliye upande wa kuliani mwake.

Swali: Kwa hivyo ni sharti mtumzima awe ndiye raisi wa baraza?

Jibu: Ndio, kama walivyokuwa wakianza na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

Swali: Mwenye halmashauri au rais wa halmashauri?

Jibu: Raisi na mkuu wa baraza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23276/هل-يبدا-المضيف-بالكبير-او-من-على-يمينه
  • Imechapishwa: 16/12/2023