Swali: Sisi tuna mabedui na watu wajinga wengi. Ni vipi tutawafunza dini yao na tuanze kuwafunza nini?
Jibu: Anzeni kwa kuwafunza twahara, wudhuu´, swalah na hukumu za swalah. Muhimu kuliko yote ni ´Aqiydah. Wafunzeni ´Aqiydah sahihi ijapokuwa kwa njia ya mukhtaswari. Wafunzeni shirki na Bid´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04)
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)