Swali: Kuna mtu mmoja amemuoa mwanamke na akampa kitabu ”al-Usuwl ath-Thalaathah” cha Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) kama mahari yake. Je, yanazingatiwa kama mahari yenye manufaa?

Jibu: Ndio. Hapana neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 01/09/2023