Wafanyie wema maami na mashangazi zako

Swali: Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) ameamrisha kuunga kizazi. Nina maami na mashangazi ambao hawakumpa mama yangu mirathi yake. Je, napaswa kuwaunga?

Jibu: Ndio. Waunge ingawa wanakufanyia vibaya. Watendee wema ijapo wamekufanyia vibaya. Tekeleza wajibu wako – na wao wanapaswa kutekeleza wajibu wao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 01/09/2023