Swali: Ni ipi usahihi wa khabari inayozungumzwa sasa katika ndimi za watu: kwamba kuna mtu alifariki. Walipotaka kumzika na kumweka kaburini, ghafla nyoka mweusi akatoka karibu ya maiti hiyo. Wakamchimbia mashimo kadhaa, lakini nyoka huyu anatoka katika kila kaburi miongoni mwake. Kisha inasemekana kwamba ukaulizwa mheshimiwa na ukaamuru azikwe katika moja ya makaburi hayo. Walipomzika, nyoka akajizungusha kwa maiti na akala ulimi wake, kama ilivyosimuliwa katika kisa hiki tulichosikia. Tunamuuliza mheshimiwa na tunaomba jibu, hali ya kuwa kelele zimeongezeka katika jambo hili siku hizi?
Jibu: Hili halina asili wala halikunifikia. Huu ni uongo na hauna asili.
Swali: Baadhi yao wanaapa kwa Allaah kwamba wewe ulisema hili?
Jibu: Yote ni uongo. Walidanganya juu ya Mitume, ewe ndugu yangu. Walidanganya juu ya Mitume, si juu yangu mimi tu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3480/صحة-خبر-خروج-ثعبان-اسود-لرجل-عند-دفنه
- Imechapishwa: 04/09/2026
Swali: Ni ipi usahihi wa khabari inayozungumzwa sasa katika ndimi za watu: kwamba kuna mtu alifariki. Walipotaka kumzika na kumweka kaburini, ghafla nyoka mweusi akatoka karibu ya maiti hiyo. Wakamchimbia mashimo kadhaa, lakini nyoka huyu anatoka katika kila kaburi miongoni mwake. Kisha inasemekana kwamba ukaulizwa mheshimiwa na ukaamuru azikwe katika moja ya makaburi hayo. Walipomzika, nyoka akajizungusha kwa maiti na akala ulimi wake, kama ilivyosimuliwa katika kisa hiki tulichosikia. Tunamuuliza mheshimiwa na tunaomba jibu, hali ya kuwa kelele zimeongezeka katika jambo hili siku hizi?
Jibu: Hili halina asili wala halikunifikia. Huu ni uongo na hauna asili.
Swali: Baadhi yao wanaapa kwa Allaah kwamba wewe ulisema hili?
Jibu: Yote ni uongo. Walidanganya juu ya Mitume, ewe ndugu yangu. Walidanganya juu ya Mitume, si juu yangu mimi tu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3480/صحة-خبر-خروج-ثعبان-اسود-لرجل-عند-دفنه
Imechapishwa: 04/09/2026
https://firqatunnajia.com/kisa-cha-nyota-ndani-ya-kaburi-alichozushiwa-ibn-baaz/