Swali: Muislamu ambaye ni mtenda maasi atapokea kitabu chake kwa mkono wa kulia au wa kushoto?
Jibu: Waislamu wote watapokea kitabu kwa mkono wa kulia. Makafiri ndio wataopokea vitabu vyao kwa mkono wa kushoto.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (64) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-02.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Muislamu ambaye ni mtenda maasi atapokea kitabu chake kwa mkono wa kulia au wa kushoto?
Jibu: Waislamu wote watapokea kitabu kwa mkono wa kulia. Makafiri ndio wataopokea vitabu vyao kwa mkono wa kushoto.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (64) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-02.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kila-muislamu-atapokea-kitabu-kwa-mkono-wa-kulia/