Kila muislamu atapokea kitabu kwa mkono wa kulia

Swali: Muislamu ambaye ni mtenda maasi atapokea kitabu chake kwa mkono wa kulia au wa kushoto?

Jibu: Waislamu wote watapokea kitabu kwa mkono wa kulia. Makafiri ndio wataopokea vitabu vyao kwa mkono wa kushoto.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (64) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-02.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020