Swali: Hudhayfah amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema katika swalah ya usiku:

رب اغفر لي وارحمني وعافني

“Mola nisamehe, nirehemu na uniafu.”

Je, kitendo chake kinafahamisha kuwa inapendeza?

Jibu: Ndio, du´aa anayoomba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni nzuri.

Swali: Kati ya Sujuud mbili?

Jibu: Du´aa anayoomba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni nzuri. Sunnah inakuwa kwa matendo, maneno na kulikubali kwake jambo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni nzuri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23119/موضع-دعاء-اغفر-لي-وارحمني-وعافني
  • Imechapishwa: 04/11/2023