Swali: Mtunzi amesema kuwa miongoni mwa sharti za kusihi kwa kichinjwa, mchinjaji awe mstahiki. Miongoni mwa mengine aliyotaja ni kwamba asiwe mtoto. Je, mtoto akiwa na uwezo wa kupambanua ni halali kula kichinjwa chake?

Jibu: Ndio. Ikiwa mtoto ana uwezo wa kupambanua na yuko na akili, ni halali kula kichinjwa chake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 19/10/2023