Swali: Kundi la watu walimpiga risasi ng’ombe wa uzio kwa bunduki, kisha wakamchinja na wakala nyama yake. Je, kitendo chao kinafaa?

Jibu: Wakimuwahi kumchinja bado yuko hai, nyama hiyo ni halali. Lakini ikiwa alikufa kutokana na risasi, ni haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 19/10/2023