Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi katika hoteli inayouza pombe lakini kazi yangu iko mbali kabisa na haina mafungamano yoyote na pombe hiyo?
Jibu: Muda wa kuwa hoteli hii inauza pombe basi kuacha kazi hiyo na kujitenga nayo mbali ni jambo la lazima. Muislamu hawi ni mwenye kusaidia dhambi na uadui.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/العمل-في-فنادق-تبيع-الخمور
- Imechapishwa: 19/06/2022
Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi katika hoteli inayouza pombe lakini kazi yangu iko mbali kabisa na haina mafungamano yoyote na pombe hiyo?
Jibu: Muda wa kuwa hoteli hii inauza pombe basi kuacha kazi hiyo na kujitenga nayo mbali ni jambo la lazima. Muislamu hawi ni mwenye kusaidia dhambi na uadui.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/العمل-في-فنادق-تبيع-الخمور
Imechapishwa: 19/06/2022
https://firqatunnajia.com/kazi-kwenye-hoteli-au-duka-linalouza-pombe/