Kazi kwenye hoteli au duka linalouza pombe

Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi katika hoteli inayouza pombe lakini kazi yangu iko mbali kabisa na haina mafungamano yoyote na pombe hiyo?

Jibu: Muda wa kuwa hoteli hii inauza pombe basi kuacha kazi hiyo na kujitenga nayo mbali ni jambo la lazima. Muislamu hawi ni mwenye kusaidia dhambi na uadui.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/العمل-في-فنادق-تبيع-الخمور
  • Imechapishwa: 19/06/2022