Swali: Vipi msafari anaswali akibaki ndani ya mji chini ya siku nne? Aswali msikitini, ajumuishe swalah au afupishe?
Jibu: Ikiwa anasikia adhaana na yuko karibu na msikiti aswali pamoja na waislamu. Asiswali sehemu nyingine. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Atakayesikia adhaana na asiitikie basi hana swalah ikiwa hana udhuru wowote.” Kukaulizwa: “Ni udhuru upi?” Akasema: “Khofu au maradhi.”
Ambaye anasikia adhaana na yuko karibu na msikiti anatakiwa kuswali msikitini. Haijalishi kitu hata kama atakuwa ni msafiri. Anatakiwa kuswali kikamilifu na wao. Vilevile asijumuishe kwa sababu ni kama mkazi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
- Imechapishwa: 02/06/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Vipi anaswali msafiri ndani ya mji?
Swali: Vipi msafari anaswali akibaki ndani ya mji chini ya siku nne? Aswali msikitini, ajumuishe swalah au afupishe? Jibu: Ikiwa anasikia adhaana na yuko karibu na msikiti aswali pamoja na waislamu. Asiswali sehemu nyingine. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: "Atakayesikia adhaana na asiitikie basi hana swalah ikiwa hana…
In "Safari"
Ni lazima kwa msafiri kuswali msikitini
Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa msafiri kuswali pamoja na mkusanyiko msikitini? Jibu: Ndio. Ikiwa anasikia adhaana na anaishi karibu na msikiti, basi haijuzu kwake kuswali nyumbani kwake. Bali anatakiwa kwenda kuswali pamoja na mkusanyiko: “Mwenye kusikia adhaana na asiiendee, basi hana swalah isipokuwa akiwa na udhuru.” Wakasema: “Ni…
In "Mkusanyiko (Jamaa´ah)"
Inajuzu kwa msafiri kuswali nyumbani ilihali anasikia adhaana?
Swali 247: Je, inajuzu kwa msafiri kuswali katika nyumba alipofikia pasi na kwenda msikitini? Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Hakika Allaah anapenda kuzitendea kazi ruhusa Zake.” Jibu: Kuzitendea kazi ruhusa Zake ni kule kufupisha swalah. Ama kuswali katika mkusanyiko basi itambulike kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi…
In "Safari"