Katika hali hi usiitikie mwaliko wa ndoa

Swali: Tumesoma kuwa kuitikia mwaliko wa ndoa ni wajibu. Lakini wakati mwingine katika sherehe hizi kunakuwa baadhi ya maovu. Tufanye nini?

Jibu: Mtu akijua kuwa mahali alipoalikwa kuna maovu na hawezi kuyakemea, asende.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (04)
  • Imechapishwa: 15/02/2024