Swali: Ikiwa jamaa zangu ninapowaunga wanafanya maovu mbele yangu na hawapokei nasaha ninapowanasihi. Je, ninapata dhambi nisipowaunga?

Jibu: Kuwaunga unatakiwa kuwaunga na usiwakate. Lakini wasipopokea nasaha na kuacha maovu, usiketi nao. Hata hivyo kuwuanga unatakiwa kuwaunga.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (03)
  • Imechapishwa: 15/02/2024