Swali: Je, imethibiti kwamba:
الصلاة خير من النوم
“Swalah ni bora kuliko usingizi.”
ni katika adhaana ya pili?
Jibu: Kusema:
الصلاة خير من النوم
“Swalah ni bora kuliko usingizi.”
ni katika adhaana ya pili. Kwa sababu ndio ambayo inaita kwamba kumepambazuka.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23700/هل-الصلاة-خير-من-النوم-في-الاذان-الثاني
- Imechapishwa: 06/04/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket