Katika adhaana ipi mwadhini husema الصلاة خير من النوم? II

Swali: Je, imethibiti kwamba:

الصلاة خير من النوم

“Swalah ni bora kuliko usingizi.”

ni katika adhaana ya pili?

Jibu: Kusema:

الصلاة خير من النوم

“Swalah ni bora kuliko usingizi.”

ni katika adhaana ya pili. Kwa sababu ndio ambayo inaita kwamba kumepambazuka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23700/هل-الصلاة-خير-من-النوم-في-الاذان-الثاني
  • Imechapishwa: 06/04/2024