Amekumbushwa katikati ya adhaana kuwa bado muda wa adhaana

Swali: Muadhini ameadhini kwa ajili ya Fajr kisha akakumbushwa kuwa kumebakia nusu saa mpaka kupambazuke. Je, asimamishe adhaana na kunyamaza au akamilishe adhaana?

Jibu: Aikate, aikate adhaana ikiwa hana mazowea ya kutoa adhaana ya kwanza ili asiwatatize watu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23701/حكم-من-تنبه-وهو-يوذن-للفجر-انه-قبل-الوقت
  • Imechapishwa: 06/04/2024