Lini unaanza wakati uliokatazwa kuswali alfajiri na alasiri?

Swali: Maoni sahihi wakati ambao imekatazwa kuswali baada ya alfajiri na baada ya alasiri unaanza baada ya kuingia wakati na kuadhiniwa au unaanza baada ya kumaliza kuswaliwa?

Jibu: Wakati wa alasiri ni kwa kule kuswaliwa swalah. Wakati wa alfajiri ni kwa kule kuchomoza jua. Isipokuwa tu Sunnah ya Fajr.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23702/متى-يبدا-وقت-النهي-بعد-الفجر-والعصر
  • Imechapishwa: 06/04/2024