Adhaana ya kwanza ya Fajr ni miezi yote na si Ramadhaan peke yake

Swali: Adhaana ya kwanza ya Fajr ni jambo maalum ndani ya Ramadhaan pasi na miezi mingine?

Jibu: Hapana, ni lenye kuenea. Ni kama alivosema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Imzindue aliye macho kati yenu na kumuamsha aliyelala kati yenu.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23699/هل-اذان-الفجر-الاول-عام-لرمضان-وغيره
  • Imechapishwa: 06/04/2024