Swali: Imetokea kwamba wapambana jihaad wanahisi damu za wenzao ni zina harufu nzuri kama ya miski?
Jibu: Kama yamesihi maneno yao basi ni katika karama. Ikiwa ni waongo basi si katika karama.
Swali: Kunaweza kusemwa kwa njia ya kukata kwamba ni karamu kwa wasiokuwa Maswahabah?
Jibu: Ndio, hata watu wa wakati wa sasa. Muda wa kuwa ni watu walionyooka.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23166/هل-تثبت-الكرامات-لمن-دون-الصحابة
- Imechapishwa: 17/11/2023
Swali: Imetokea kwamba wapambana jihaad wanahisi damu za wenzao ni zina harufu nzuri kama ya miski?
Jibu: Kama yamesihi maneno yao basi ni katika karama. Ikiwa ni waongo basi si katika karama.
Swali: Kunaweza kusemwa kwa njia ya kukata kwamba ni karamu kwa wasiokuwa Maswahabah?
Jibu: Ndio, hata watu wa wakati wa sasa. Muda wa kuwa ni watu walionyooka.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23166/هل-تثبت-الكرامات-لمن-دون-الصحابة
Imechapishwa: 17/11/2023
https://firqatunnajia.com/karama-kwa-wasiokuwa-maswahabah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket