Kanisa na nyumba za ngono kuzifanya misikiti

Swali: Ni ipi hukumu ya kuvunja makanisa na kuyafanya misikiti baada ya kuyauza? Vivyo hivyo majumba ya ngono na sehemu nyinginezo ambapo Allaah anaasiwa au anashirikishwa?

Jibu: Dhuluma haijuzu. Haijuzu kuyavunja isipokuwa ikiwa kama wao watakuwa radhi au wakawauzia waislamu. Katika hali hii ni sawa yatageuzwa kuwa misikiti. Kadhalika majumba ya ngono yanageuzwa kuwa misikiti. Ni sawa kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1431-08-08.MP3
  • Imechapishwa: 21/04/2015