Swali: Akifa ambaye anadaiwa funga ya miezi miwili mfululizo ni sahihi akafungiwa na watu sitini katika siku moja?
Jibu: Haisihi. Kwa sababu kwa njia hiyo hakufikiwi ile sharti; ambayo ni ule mfululizo.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 89
- Imechapishwa: 29/08/2020
Swali: Akifa ambaye anadaiwa funga ya miezi miwili mfululizo ni sahihi akafungiwa na watu sitini katika siku moja?
Jibu: Haisihi. Kwa sababu kwa njia hiyo hakufikiwi ile sharti; ambayo ni ule mfululizo.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 89
Imechapishwa: 29/08/2020
https://firqatunnajia.com/kafara-ya-miezi-miwili-mfululizo-kuifunga-siku-moja/